sawa, unayeulza kuhusu soko la mayai, aisee huku utauzaje mayai huku watu wanafuga ksha wanatafuta masoko mjini,kuna jamaa wana bonge la shamba wanafuga kuku,kutotolesha,kuuza mayai soko kuu dsm, kuhusu bei niambie unalipa kwa mwez,miez 6,mwaka then takukadilia.