Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mara nyingi unapotaka kumuachisha kuku vifaranga au unapotaka kuchukua mayai ya kuku anaejiandaa kutamia kuku huwa mgumu kusahau na huendelea kulalia ingawa umemuondolea mayai. Sasa chukua ndoo...
4 Reactions
46 Replies
10K Views
Habari, Nina Kuku Wangu Ambao Wameanza Kutaga Hivi Karibu, Leo Asubuhi Nimekuta Wamemuua Mwenzao Na Kumdonoa Mkiani, Nimewapa Multivitamin Hivi Karibuni Na Kuwakata Midomo, Sijui Tatizo Ni Nini...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habar wadau mimi ni mdau mkubwa wa kilimo na mifugo na niko mbioni kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji ila nimevutiwa na kuku wa kienyeji wenye asili ya India wanaitwa kroiler. Sasa naomba kwa...
0 Reactions
15 Replies
56K Views
Habari wanajamii forum? Naombeni msaada kujua namna ya ufugaji wa kuku wa nyama. Nikiwa namaanisha vyakula wanavyotakiwa kula kwa kila stage, chanjo pamoja na madawa..ahsanteni.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
MBINU ZA KUKINGA KUKU DHIDI YA MAGONJWA Tunafahamu kwamba magonjwa ndio chanzo kikubwa cha kukatisha ndoto za mfugaji kutokana na ughali wa bei za dawa au vifo vinavyosababishwa na magonjwa hayo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
ndugu habari zenu, kama unalima pilipili mbuzi (SIO HOHO) kuna mnunuzi piga 0755103405
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Tikiti linenitia hasara ya jumla ya mil 1.4. Yaani Nigel hudumia sana lakini mwishowe limeniumiza sasa nalima Bamia so naomba kujua Soko la Bamia na ushauri tafadhari Nimemaliza karibuni...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu! Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza chuo mwaka jana (2015), nimetafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari , kama kichwa cha habari kinavyojieleza , tuanza kutoa semina ya ufugaji wa kuku wa kienyeji kuanzia tarehe 1/10/2016 Jumamosi sehemu ni dodoma mitimirefu kwanzia saa 10:00AM asubuhi hadi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu; Niko katika ajira mwaka wa nne sasa tangu nimalize shule. Gross Pay yangu ni 3.5 milioni plus. Lakini nikiangalia mbele i dont see my self being rich kwa kuendelea na maisha haya ya...
9 Reactions
157 Replies
32K Views
Wadau naulizia wapi wanauza mbegu bora za maharage ya njano kwa Mwanza na Dar es salaam, ahsanteni
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani habarini wanajamvi hivi kwa nchi kubwa kama Tanzania inakuwaje tunashindwa kutafuta njia rahisi za kukuabiliana na magonjwa ya mifugo hasa kuku kwani kinga na dawa za kuku kwa maeneO hasa...
0 Reactions
1 Replies
662 Views
HAYA nnao vifaranga 6 wa kienyeji wenye chanjo ya mdondo na gombola hawana ugonjwa wowote, jumanne wanafksha wk ya 4 kila kfaranga elf 5, mama yao elf 15. na siyo mzee huu ni uzao wake wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu? Nimeamua rasmi kuingia kwenye kilimo na ufugaji lengo langu kuu ni kulima mpunga na vitunguu na kwa upande wa mifugo tayari nimenunua nguruwe 10 na kuku 20 wa kienyeji 15...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi. Naamini jukwaa hili kuna watu wana/wamiliki wa project za kilimo na ufugaji na naweza kupata msaada. Nahitaji kazi katika maeneo tajwa hapo juu kama 'unskilled...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Amani kwenu nyote. Nia ya bandiko hili ni kuomba msaada kwa wale wenye taarifa au wameshapitia mchakato huu wanisaidie maelezo na utaratibu jinsi ya kuanzisha gazeti la kila siku au kila wiki...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari ya majukumu, Jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji toka mwaka 2011 na sasa nina zaidi ya kuku 700. Tatizo langu ni kuwa mwanzoni mwa mwezi huu niliatamisha kuku 18 ambao jana...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi?Naitwa Nicholas naishi morogoro,nashughulika na biashara na ufugaji.Kifupi ni kwamba nimepata tatizo katika kuku wa nyama niliowachukua kutokakampuni ya interchick kupitia...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau nimekuwa nikijiuliza kuhusu ufugaji wa bata mzinga (turkeys) nasikia wanauzwa bei ghali. Kuna mwenye uzoefu na mradi wa aina hii? Na je soko lake lipo?
0 Reactions
16 Replies
20K Views
wadau nipo katika hatua za mwanzo za utafiti wa utengenezaji wa peanut butter kwahiyo yeyote anayefahamu chochote kuanzia bei za mashine za kusagia karanga na vingine vinavyohusika. ahdante
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom