Vifaranga vya kuku wa nyama

Vifaranga vya kuku wa nyama

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,920
Jamani kuna jamaa yangu anaangaika na jinsi ya kupata vifaranga bora visivyosumbua. Yeye amekuwa akinunua vifaranga toka sehemu makampuni mabli mbali lakini mara zote ( kama 3 hivi) ama vinakufa sana ama vinakuwa havikui vizuri. Naomba mwenye uzoefu ajaribu kusaidia hapa ni kampuni gani hasa inayotoa vifaranga bora? na wenye bei inayoeleweka, nasikia inter-chik kimoja ni Tshs 1,500/= wakati wengine kama 1,200/= hivi. Vipi vifaranga vya Kibo kuna mtu anauzoefu navyo?, maana kuna tetesi kuwa vinasumbua kidogo, ingawa bei ni nzuri. Na pia nasikia kuna vifaranga toka Kenya, Je ni vizuri, je vyapatikana wapi na Tshs ngapi kimoja.

Natanguliza shukrani za dhati
 
ubungo mataa wapo bei 1100 sio wabaya. Kenya ni kenchic nao wazuri tu. Kufa vifaranga inategemea matunzo na chanjo pia unafuata maelezo?
 
Kwani ukisema wewe ndiyo unahitaji kuna tatizo gani?.. waswahili bana
 
We avatar yako inanifanya nikuache ulivyo, unachotakiwa kujua ni kuwa kuna watu wengi hawana access ya internet na ni wachakalikaji. Wakiomba msaada tuna wasiadia kutafuta taarifa kwani info is power mama / sr. / ajat
 
ubungo mataa wapo bei 1100 sio wabaya. Kenya ni kenchic nao wazuri tu. Kufa vifaranga inategemea matunzo na chanjo pia unafuata maelezo?
Ubungo Mataa pande ipi hasa, karibu na Tanescrow ama kuelekea Land Mark Hotel? ni vya kampuni gani?
 
upande wa mlimani kwenye kona kabisa pale utapata vitu vingi vya kilimo na ufugaji. Pia kuna famasi madawa na washauri jirani na vyakula vya kuku. Interchick nao nimepita wameshusha bei ilikuwa alfu mia nne
 
Interchick pande ipi umepita pale pale ama interchik kwenyewe
 
mi nahitaji vifaranga wa nyama yeyote mwenye navyo maeneo ya iringa aniPM namba tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom