Kilimo cha cha chinese cabbage

Kilimo cha cha chinese cabbage

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2009
Posts
807
Reaction score
369
Habarini wadau

Nimejaribu kutafuta sources za hii kitu kwa wakulima wa tanzania lkn naona taarifa ni hafifu sana, nataka kufanya lakini nikusanye taarifa kwanza, naombeni mawazo yenu kwa wazoefu wa hii mboga, nataka general information.
 
Back
Top Bottom