Jinsi ya tumtoa kuku kumbukumbu!!

Jinsi ya tumtoa kuku kumbukumbu!!

Nelly Mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
371
Reaction score
417
Mara nyingi unapotaka kumuachisha kuku vifaranga au unapotaka kuchukua mayai ya kuku anaejiandaa kutamia kuku huwa mgumu kusahau na huendelea kulalia ingawa umemuondolea mayai. Sasa chukua ndoo iliyojaa maji, mshike kuku husika kisha mzamishe kwenye maji kwa sekunde mbili kisha muachie aende! Baada ya kumuachia utaona kuku anatoka spidi kama vile kachanganyikiwa, na hatakumbuka watoto wala mayai. Baada ya muda mfupi kuku ataanza kupandwa tena!!
NB: Kuku wengine hurudiwa na kumbukumbu baada ya muda!!!
 
tulimla alikuwa anzengua sana ..jogoo anatabia ya kuita mitetea kuwahonga kabla hajawapanda.. yeye alikuwa haendi ansubiriwa akishapanda mwingine ndiyo anaenda kujisogeza
Huyo kuku alikuwa na akili zaidi ya za kuku!!
 
hapo kwenye Nb ndo balaa ina maana zoezi lina uwezekano wa kufeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom