Msaada kununua vifaranga wa mayai.

Mama paradigm

JF-Expert Member
Apr 17, 2010
354
672
Habari wakuu, samahani nataka kufuga kuku wa mayai 200, hivyo naomba msaada ni wapi naweza pata vifaranga. Na je ni aina gani ya vifaranga wazuri. Mimi naishi Boko Dsm.
Natanguluza shukrani .
 
Vifaranga bora wanapatikana ubungo mataa hapo ukivuka kituo cha DART kilichopo karibu na TANESCO hapo uwe kama unaelekea chuo tembea kama mita 20 uliza yeyote atakuelekeza
 
pia ukitaka vifaranga vya kuku wa kienyeji unaweza nitafuta kwa namba hii 0762342300.karibu sana nipo sinza kwa remmy.utaletewa hadi mlangoni
 
kwa iringa vp mi nahitaj sana vifaranga wa nyama
 
Back
Top Bottom