Zao la Mbaazi lashuka Bei kwa kiwango cha hali juu

Mbaazi imeshukaa maana Ziko nyingi sana....supply imekuwa kubwaaa....Kuna sehemu dutumi Ziko za kumwaga
 
Inaonekana zipo kwa wingi sokoni ndio maana zimeshuka bei namna hiyo.!
 
Hapna biashar za mazao za kuwauzia wahind ndivo zilivo akipata nusu ya mzigo wake kwa bei ya kwanza nusu ya pili anahakikisha atamlalia mkulima mpak anamaliza
Wahindi ni watu wabaya sana wanadai eti choroko na ufuta umekwama bandarini kisa kodi kubwa ndio maana wamegoma kununua mbaazi
 
Sasa hivi serikali haiwezi ikanunua mzigo wote kwa wakulima kwa bei nzuri alafu ikauza huko india na bado ikapata faida?!
 
Inaonekana zipo kwa wingi sokoni ndio maana zimeshuka bei namna hiyo.!
SABABU YA KUSHUKA SIYO UWINGI,ILA SERIKALI IMEWABANA HAWA WANAO NUNUA MAZAO NDIYO KAMA WAMEWAPA SABABU YA WAO KUSHUSHA BEI YA KUNUNUA.....KODI ZIMEKUWA NYINGI KWAO.
SABABU NYINGINE MAZAO KUSTOPISHWA KWENDA NJE TANZANIA NAYO IMECHANGIAAA
NA KINGINE MAKAMPUNI MENGI HAWANUNUI MBAAZI TANZANIA....
HIYO NI KITOKANA N'A UZOEFU WANGU N'A NLICHOKISHUDIAAA MAANA NLISHAANZA KUKUSANYA MBAAZI DUTUMI,GWAKILA,MOROGORO NA NIMEKULA ZA USOO TAYARI
 
Wahindi ni watu wabaya sana wanadai eti choroko na ufuta umekwama bandarini kisa kodi kubwa ndio maana wamegoma kununua mbaazi
Shida ushuru wa forodha wamepandishiwa Kodi zinekuwa nyingi kwaooo....lazima serikali ititafute namna kuokoa hali hii maana kwa style
Hi hatutafika popote mkuu
 
SABABU YA KUSHUKA SIYO UWINGI,ILA SERIKALI IMEWABANA HAWA WANAO NUNUA MAZAO NDIYO KAMA WAMEWAPA SABABU YA WAO KUSHUSHA BEI YA KUNUNUA.....KODI ZIMEKUWA NYINGI KWAO.
SABABU NYINGINE MAZAO KUSTOPISHWA KWENDA NJE TANZANIA NAYO IMECHANGIAAA
NA KINGINE MAKAMPUNI MENGI HAWANUNUI MBAAZI TANZANIA....
HIYO NI KITOKANA N'A UZOEFU WANGU N'A NLICHOKISHUDIAAA MAANA NLISHAANZA KUKUSANYA MBAAZI DUTUMI,GWAKILA,MOROGORO NA NIMEKULA ZA USOO TAYARI
Kumbe......pole kwa Kula za uso
 
Back
Top Bottom