Habari zenu wakuu!
Mimi ni kijana wa kiume nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza chuo mwaka jana (2015), nimetafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa sijafanikiwa kupata na muda unazidi kwenda. Ari ya maisha kwangu imezidi kuwa ngumu mno. Nimepata wazo la kufuga kuku wa kienyeji ili niweze kuuza mayai pamoja na kuku wenyewe kama njia ya kujipatia kipato huku nikiendelea kutafuta ajira taratibu maana muda unazidi kwenda (the time is not waiting for people). Tatizo kubwa linalonikabili ni kuwa sina eneo la kufugia hao kuku (mabanda) sasa nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye eneo la kufugia kuku pamoja na miundo mbinu mengine anisaidie na mungu atakubariki. Mimi nipo Dar es salaam, 0758 106 501