Wanabody nimekuja kutoa rai yangu wale wenzangu waliojitokeza kulima matikiti mwaka huu.
Hali ilivyo mpaka sasa si shwari kwa kuwa soko linatatiza sana kwa maana watu walioingia kwenye kilimo...
ifahamike kwamba, ufugaji na kilimo ni uwekezaji mzuri hasa kwa wakulima wenye mashamba madogo na hata yule mkazi wa mjini ambaye anaweza kulitumia eneo lake la uwani kufuga.
Ifahamike pia...
. Naomba ushauri juu ya hili tatizo kwanini zinapasuka na zingine kuoza. Hizi tikiti bado wiki mbili zivunwe na tatizo hili Luna siku kama 3 toka lianze
Tunauza na kufunga madirisha, milango na Balcony kwa PVC toka Uturuki na Aluminium. Bei zetu ni nafuu sana.
Bei zinajumlisha ufundi na usafiri hadi nyumbani (ndani ya Dar es salaam).
Mteja mwenye...
Salamu kwenu wana Jamii Forum na Wakulima wa Tanzania.
Nimetafakari kwa kina na kuona kuna haja ya sisi wakulima wadogo wadogo wa Tanzania kuungana na kupaza sauti zetu kwa pamoja na kuiomba...
Habari wadau
Mimi ni mkulima mchanga( nikimaanisha ndio naanza hizi shughuli za Kilimo) sasa tangia nimeanza tatizo kubwa ambalo nalisikia ni kuhusu soko la bidhaa zetu.
Ndugu zangu mimi nina...
Habari,
nafahamu uwepo wa manguli wa kilimo humu JF, itakua faraja kama nitapata msaada wenu. nimenunua shamba la heka mbili miezi sita iliyopita, nataka kujua utaratibu wa shamba boy kulipwa...
Habari wanajf,
Mimi ni mkulima ninajishughulisha na kilimo cha mbogamboga [kilimo cha bustani] pamoja na ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Changamoto kubwa ninayokutana nayo ni ukosefu wa mitaji...
Habarini, kwa wale wakulima wa Mahindi walioko katika wilaya ya Mbozi na maeneo ya jirani.
Sisi wataalam wa kilimo tunapenda wakulima wapate kipato kizuri na si kipato tu bali katika kipindi...
Habarini za mchana wana jukwaa,
Samahani natafuta soko la Mbaazi kwa ambaye anafahamu kwa Dar es Salaam linapatikana wapi nikiwa na mzigo tafadhali naomba anijuze.
Nipende kuwatakia mchana...
Wapendwa!
Natarajia kuanza project ya kuku wa mayai,awali nilishauriwa kuagiza vifaranga Uganda lakini inasemekana kwa sasa Serikali hairuhusu kabisa kuingiza vifaranga kutoka nje.
Hivyo basi...
Habari wana JF,
Natangaza kuwa nilishaachana na biashara ya dagaa wa kutoka Mwanza, siku hizi na deal na biashara zingine ambazo hazihusiani kabisa na bidhaa hiyo.
Ahsanteni sana kwa ushirikiano...
Habari wanaJF, Natafuta wataalam mbalimbali wa kilimo na mifugo nifanye nao online business. Nataka nianzishe website ya mambo ya kilimo na ufugaji, kwaiyo natafutaa wataalam wa kuandika nakala za...
Wapendwa mi nko chato mkoani Geita nahitaji kuzalisha uyoga aina ya Manama (oyster) huku chato, kwa haraka nahisi soko lake ni mwanza maana ndiyo mji mkubwa ulio karibu nami, sasa mbegu ntapata...
Habari vijana wenzangu...
Mi ni mkulima wa mpunga maeneo ya SShinyanga mwenye uwezo wa Kusuply zaidi Tan50 za mchele kila wiki ningependa kuuliza mwenye ufaham wa masoko ya nnje ya africa na dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.