mbwadinho
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 180
- 102
Jamani habarini wanajamvi hivi kwa nchi kubwa kama Tanzania inakuwaje tunashindwa kutafuta njia rahisi za kukuabiliana na magonjwa ya mifugo hasa kuku kwani kinga na dawa za kuku kwa maeneO hasa vijijini inakuwa ngumu kuwafikia kwa nn tusitafute njia rahisi ya kuwawezesha wafugaji hasa wa vijijini waweze kuwapatia chanjo ambayo inapatikana kwa urahisi katika maeneo yao ili nao waweze kunufaika ma ufugaji mfano tunaweza kutafuta chanjo kupitia majani ya miti magome ya miti ambayo ni rahisi kupatikana katika mazingira yetu nawasilisha kwenu wadau samahani Kama nitakuwa kuna sehemu sikuandika vzr asante