Msaada kuhusu ufugaji wa kuku wa nyama

Msaada kuhusu ufugaji wa kuku wa nyama

PreciousLaddy

New Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
4
Reaction score
1
Habari wanajamii forum?
Naombeni msaada kujua namna ya ufugaji wa kuku wa nyama. Nikiwa namaanisha vyakula wanavyotakiwa kula kwa kila stage, chanjo pamoja na madawa..ahsanteni.
 
Chakula starter siju ya 1 hadi 14 siku 15-25 grower siku 26-35 finisher ukinunua chakula kizuri watakua vizuri utauza kuanzia siku28 ukitumia chakula kibaya chini ya kiwango utauza siku 60 chanjo na dawa siku 1_5 wapewe anticox vitamins pia kuna chanjo ya newcastle na gumboro hii utapewa maelekezo dukani utakaponunua ila ni kuanzia siku ya 7
 
na vipi kuhusu faida kwa kuku 300 maana mi hesabu ni ziro
 
Kama kuna mtu anafaham bei zao kwa mtu anaetaka kununua bi shngp hao kuku wa nyama?
 
Vifaranga 1400@ wa KILACHA, chakula kinaanzia 55000 na kuendelea kwa mfuko wa kg 50
 
Back
Top Bottom