Msaada: ni vifaa gani vinahitajika kwenye drip irrigation system?

Msaada: ni vifaa gani vinahitajika kwenye drip irrigation system?

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,986
Reaction score
3,151
Ndugu wajumbe, nimevutiwa sana na kilimo cha umwagiliaji wa matone hasa kwa kilimo cha kahawa eneo nililopo hivyo basi ningeomba wazoefu na wataalam wa kilimo wanisaidie juu ya vifaa vinavyohitajika na kiasi chake (quantity ) kwa shamba la ukubwa wa ekari tano. Asanteni!
 
Kwa urahisi wasiliana na Balton Tanzania Ltd watakupatia vifaa na utaalamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom