soil sterilization

soil sterilization

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,096
Reaction score
1,604
habari zenu wakubwa. naomba kufahamu kutoka kwa wataalam wa kilimo na udongo kuhusu issue ya soil sterilization. kwenye vipengele vifuatavyo
.maanake yake
.ina faida gani kwa mkulima kiujumla
.njia za kufanya soil stirilazation ambazo zinapatikana kwenye mazingira yetu.
.hasara na garama

ahsanteni..nategemea majibu ya kitaalamu cyo prank
 
Back
Top Bottom