Nataka nifuge Kuroiler niwauze Chrismass

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,631
Naomba kuuliza, hivi inawezekana?

Nataka kufuga Kuroiler kwa ajili ya nyama hadi Chrismass niwauze kwa ajili ya nyama.

Mabanda yapo na nitakuwa nawalisha chakula cha kiwandani.

Imebaki kama miezi mitatu tu.
 
Ndio mnyama gani huyo????????[emoji56][emoji56][emoji56][emoji42][emoji42][emoji42]
 
Naomba kuuliza, hivi inawezekana?

Nataka kufuga Kuroiler kwa ajili ya nyama hadi Chrismass niwauze kwa ajili ya nyama.

Mabanda yapo na nitakuwa nawalisha chakula cha kiwandani.

Imebaki kama miezi mitatu tu.

Sidhani km utafikia lengo,kuku wa kienyeji ni bora kumuuza akiwa ametimiza miezi sita,so by december kuku wako watakua na umri wa miezi mitatu.
 
Hata nikimlisha vyakula vya kiwandani kama wale broilers?
 
Km lengo ni uzito,kuroiler ukimlisha vizuri ndani ya miezi minne anaweza kuwa na uzito mzuri,lkn ukianza ss hv kwa december atakua na miezi mitatu,inwz isikulipe.
 
inawezekana mkuu nimechukua sasso 200 tarehe moja sept kwa malengo kama yako nawalisha mifuko 8 hadi dec
 
Sasso si wa mayai mkuu? Au?

Mi nataka wawe Kuroiler, wale wanaofika kilo 3-4 ndani ya miezi mitatu hadi minne.

Week ijayo nataka niwafuate.
 
Km lengo ni uzito,kuroiler ukimlisha vizuri ndani ya miezi minne anaweza kuwa na uzito mzuri,lkn ukianza ss hv kwa december atakua na miezi mitatu,inwz isikulipe.

Miezi mitatu na nusu. Nawalisha vyakula special tu.
 
sasso unauwezo wa kuwafuga wakaliwa nyama kwa miezi mitatu au ukawafuga waje watage kwa miezi tano hadi sita ....wana formula 2 za kuwalisha kulingana na malengo yako
 
  • Thanks
Reactions: etb
Wapi naweza kupata hao kuku aina ya sasso kwa hapa morogoro?
 
sasso unauwezo wa kuwafuga wakaliwa nyama kwa miezi mitatu au ukawafuga waje watage kwa miezi tano hadi sita ....wana formula 2 za kuwalisha kulingana na malengo yako
Wapi naweza kupata hao kuku aina ya sasso?
 
sasso unauwezo wa kuwafuga wakaliwa nyama kwa miezi mitatu au ukawafuga waje watage kwa miezi tano hadi sita ....wana formula 2 za kuwalisha kulingana na malengo yako
Hao sasso wanakuwa na kilo ngapi ndani ya miezi mitatu?
Upo wapi? Nataka kukutafuta.
 
TE="Marire, post: 17577878, member: 84102"]pia nina kuku toka israel kienyeji pure imefanyiwa crossed wanataga miezi minne mfululizo ndio wanapata wazo la kutamia wanakuwa haraka na ni wastaarabu kwenye chakula[/QUOTE]
Mkuu waweza Weka picha yuwaone,? Wauzaje vifaranga?
 
pia nina kuku toka israel kienyeji pure imefanyiwa crossed wanataga miezi minne mfululizo ndio wanapata wazo la kutamia wanakuwa haraka na ni wastaarabu kwenye chakula
Rafiki uko wapi?
 
Sidhani km utafikia lengo,kuku wa kienyeji ni bora kumuuza akiwa ametimiza miezi sita,so by december kuku wako watakua na umri wa miezi mitatu.
Kwa kuroiler anawahi kabisa. Wanakuwa haraka kuliko hawa pure kienyeji
 
Back
Top Bottom