MABOGOJOHA
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 541
- 427
Ninao Bata lakini wamekuwa wakilegea miguu na shingo. Pia wanaharisha mavi meupee. Naomba kufahamu tiba na hayo maradhi yanaitwaje?
Pole mkuu ila hao wana ukosefu wa madini ya calcium. Hivyo unatakiwa kununua DCP au mifupa, multvitamin (Introvit A+) na chokaa uchanganye kwenye chakula chao. Kingine jitahidi kufanya usafi wa banda pamoja na vyombo vyao vya maji na chakula.Ninao Bata lakini wamekuwa wakilegea miguu na shingo. Pia wanaharisha mavi meupee. Naomba kufahamu tiba na hayo maradhi yanaitwaje?
Nashukuru sana kwa msaada wako na majibu yako. Kwa ujumla chakula chao huwa nawachanganyia Calcium na banda lao ni safi kila wakati. Kwa kweli wamenichanganya na leo asubuhi nimechinja bata kumi na nne. Hiyo dawa nitaitafuta ili kuwanusuru waliobaki.Pole mkuu ila hao wana ukosefu wa madini ya calcium. Hivyo unatakiwa kununua DCP au mifupa, multvitamin (Introvit A+) na chokaa uchanganye kwenye chakula chao. Kingine jitahidi kufanya usafi wa banda pamoja na vyombo vyao vya maji na chakula.
Kwani wana dalili zozote za mafua? Nipigie 0753249862 tupeane ilimu zaidiNashukuru sana kwa msaada wako na majibu yako. Kwa ujumla chakula chao huwa nawachanganyia Calcium na banda lao ni safi kila wakati. Kwa kweli wamenichanganya na leo asubuhi nimechinja bata kumi na nne. Hiyo dawa nitaitafuta ili kuwanusuru waliobaki.
Nitakwenda kuwaangalia vizuri kama wana dalili za mafua halafu nitakupigiaKwani wana dalili zozote za mafua? Nipigie 0753249862 tupeane ilimu zaidi
Piga hata sasa hivi ili nijue wana shida gani kwa undani coz mimi nimewafuga kwa muda mrefu kuna kipindi wanongezeka wanafika hadi 100+ ila kwa sasa nimewapunguza sana coz nataka nianze tena upya kwa kununua majike na madume kutoka sehemu nyingineNitakwenda kuwaangalia vizuri kama wana dalili za mafua halafu nitakupigia
Ni ukweli ila chini ya uangalizi makininasikiaga bata haugui hovyo
Kwa bahati nilipofika nyumbani nikakuta wife ameshamuita mtaalam. Ulichonishauri kuhusu DCP nae ameshauri hivyohivyo. Nimeshanunua na wameanza tiba. Ngoja tuone maendeleo yao. Nitakufahamisha jinsi wanavyoendelea na tiba. Asante kwa kunishauri.Piga hata sasa hivi ili nijue wana shida gani kwa undani coz mimi nimewafuga kwa muda mrefu kuna kipindi wanongezeka wanafika hadi 100+ ila kwa sasa nimewapunguza sana coz nataka nianze tena upya kwa kununua majike na madume kutoka sehemu nyingine
Asante na karibu sanaKwa bahati nilipofika nyumbani nikakuta wife ameshamuita mtaalam. Ulichonishauri kuhusu DCP nae ameshauri hivyohivyo. Nimeshanunua na wameanza tiba. Ngoja tuone maendeleo yao. Nitakufahamisha jinsi wanavyoendelea na tiba. Asante kwa kunishauri.
Soka la ukika la bata linapatikana wapi?Asante na karibu sana
Soka la wapi mkuu???Soka la ukika la bata linapatikana wapi?
la kuuza bataSoka la wapi mkuu???
Kwan bata wanasoka au ulimaansha sokola kuuza bata
Hivi kwa mara ya kwanza natakiwa nianze na majike wangapi?Piga hata sasa hivi ili nijue wana shida gani kwa undani coz mimi nimewafuga kwa muda mrefu kuna kipindi wanongezeka wanafika hadi 100+ ila kwa sasa nimewapunguza sana coz nataka nianze tena upya kwa kununua majike na madume kutoka sehemu nyingine