Kilimo cha matunda

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,868
2,760
Nataka kuanzisha KILIMO cha kisasa cha matunda aina ya passion je kwa waliolima hivi kinalipa?
 
Mimi sio mtaalamu ila ungeiweka Jukwaa la Uchumi/Ujasiriamali lakini pia ueleze unataka kulima sehemu gani specifically.
 
Namimi naomba msaada juu ya kilimo cha mabohora (passion) mchakato mzima mavuno. Gaharama. Changamoto. Na mengieneyo mengi yahusuyo kilimo cha tunda hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom