Biashara ya mananasi

LIZZYBETTY

Member
Jul 23, 2015
48
8
Habari za majukuu ndugu zangu,Nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza mananasi lakini si na experiece nayo sana maana naona msimu wake umekaribia mwenye kujua vizuri biashara hii naomba anisaidie ni wapi nitapata kwa bei ya shambani,changamoto na faida ya biashara hii,na budget yake.........Natanguliza shughurani zangu
 
Nenda maeneo ya Kiwangwa Bagamoyo. Kule ndiko mananasi yanatoka kwa wingi. Hivyo unaweza kupata mwanga zaidi.
 
Back
Top Bottom