nanya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 672
- 523
Nimekua nikifuga kuku aina ya broiler kwa mda, ila vifaranga vingi huwa vinaishiwa nguvu za miguu, na vingine huwa vinakuwa na matege kama msamba wa Van Damme, nataka kujua tatizo la vifaranga kuishiwa nguvu za miguu linasababishwa na nini? na dawa yake ni ipi?