Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi?? Viwanda...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Salaam wanajamvi,Baada ya kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa makala na ushuhuda wa wafugaji hapa jukwaani nikashawishika kuwaanza hii shughuli.Wiki iliyopita nikaenda morogoro nikanunua matetea...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Nenda kanunue unenepeshe!
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninaomba ushauri nahitaji kununua incubeta kwa ajili ya kutotolesha mayai naomba nijue ni haina gani ya incubeta inafaa na mchanganuo wa bei hata zinapopatikana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KILIMO CHA MAPARACHICHI KIBIASHARA. http://kilimoforum.blogspot.com/2013/12/kilimo-cha-maparachichi-kibiashara.html
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza, ni wapi zinapatikana mbegu za mbaazi kwa mikoa ya Mbeya, Iringa Njombe na Ruvuma?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi naishi mjini, wala si mkulima kwa practice, bali kwa taaluma. Mwaka jana kuna mbolea ya ruzuku 'ilikuja' mtaani kwetu nami nikajipati mfuko mmoja UREA na miwili ya DPP. Nilichukua nikaweke...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
naomba msaada wa uundaji wa vikundi biashara(Commercial Producer Groups) hasa kwa wakulima ninatakiwa kuwawezesha wakulima wangu sina hata pa kuanzia
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni kwa walio na uzoef wa ujenzi wa mabanda ya kuku. Nataka nifuge kuku wa kienyeji 80-100. Naombeni design ya banda ya kuku inayofaa kwa idadi hyoo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kipindi cha Baba Wa Taifa miradi mingi ilianzishwa. Vipindi vilivyofuata ubinafsishaji ulifuata. Mali nyingi zilipewa waekezaji na hazikuendelezwa tena na kufanya uchumi udorore. Baadhi ya miradi...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Salamu kwenu wana jamvi! Ninataka kutumia maji ya mto uliokaribu na shamba langu hapa kijijini kwetu. Ninapata usumbufu toka kwa watendaji kwa madai ya kusimamia mazingira! Naomba mwenye uelewa wa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Sasa tatizo la aridhi kati ya wakulima na wafugaji limekuwa kubwa karibu mikoa yote ya Tanzania. Wananchi wanapoteza maisha na wengine wanakuwa walemavu,je serikali ina utaratibu gani kuepesha...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
MBEGU BORA ZA MBAAZI ZIMNAPATIKANA SASA... QUALITY PIGEON PEAS SEEDS AVAILABLE NOW Habari, Kwa wale wanahitaji mbegu bora za Mbaazi (zimethibitishwa na TOSCI) sasa mbegu zinapatikana Dar...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Hizi ni zama za sumu ambapo bidhaa za kawaida zinazotumiwa majumbani zinaweza kutuua.Ni zama ambazo wafanyibiashara wametushawishi kwamba bidhaa nyingi za tunazotumia kila siku kama...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, samahani nataka kufuga kuku wa mayai 200, hivyo naomba msaada ni wapi naweza pata vifaranga. Na je ni aina gani ya vifaranga wazuri. Mimi naishi Boko Dsm. Natanguluza shukrani .
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kuna jamaa yangu anaangaika na jinsi ya kupata vifaranga bora visivyosumbua. Yeye amekuwa akinunua vifaranga toka sehemu makampuni mabli mbali lakini mara zote ( kama 3 hivi) ama vinakufa...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Ndugu wanajamvi, Nimepata Ardhi maeneo ya Mkuranga juction ya kuelekea Mkuranga mjini ukipitia njia ya Fremu Kumi Kivule, Nataka kufanya kilimo maeneo yale lakini changamoto kubwa, ni kwamba eneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema wilayani Ruangwa Mkoani Lindi. zao la mbaazi lashuka bei kutoka sh.1400 Hadi kufikia sh 700 kwa kg1. Habari mbaya kwa sisi Wakulima.
2 Reactions
117 Replies
17K Views
Habarini wadau, Naombeni utalaamu kidogo kwenye suala zima la kilimo cha tikiti. Huwa inashauriwa sana pindi matunda yanapotoka kuacha matunda matatu tu ili yaweze kua makubwa na yauzike vizuri...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wadau Nimejaribu kutafuta sources za hii kitu kwa wakulima wa tanzania lkn naona taarifa ni hafifu sana, nataka kufanya lakini nikusanye taarifa kwanza, naombeni mawazo yenu kwa wazoefu...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
Back
Top Bottom