Msaada huu ni Ugonjwa gani na nitumie dawa gani

Msaada huu ni Ugonjwa gani na nitumie dawa gani

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,057
Reaction score
1,868
Habar wanajamvi kuku wangu wanasumbuliwa na kuvimba macho na kupofuka na kupelekea vifo. Je huu ni Ugonjwa gani na nitumie dawa gani.
 
Nafikiri niukosefu wa vitamin a hivyo wape Dawa ya vitamin a. Hii hutokea sana kwa vifaranga na kuku wakati wa kiangazi wanapokosa majani
 
Nafikiri niukosefu wa vitamin a hivyo wape Dawa ya vitamin a. Hii hutokea sana kwa vifaranga na kuku wakati wa kiangazi wanapokosa majani
Ni bora angesema dalili vizuri kuvimba macho yaweza kuwa mafua pia (infectious coryza)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom