Natafuta mtaalamu mshauri wa ufugaji wa kuku

Natafuta mtaalamu mshauri wa ufugaji wa kuku

SAIZI YANGU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
381
Reaction score
83
Ndugu zangu natafuta mtaalamu ambaye atanishauri kuhusu banda, vifaranga, madawa na ufugaji mzima wa kuku wa kienyeji na wa kisasa. Pliz inbox kama upo maeneo ya jirani. Naishi Masaki DSM.
 
wataalam kwa kuku wamo humu wameainisha vizuri sana
 
Humu wataalamu wapo wengi sana, kama una swali unaweza kujibiwa Na kama unahitaji walio jirani Na ulipo basi utawapata
 
Back
Top Bottom