sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Mh waziri wa kilimo na ushirika nchini nichukue fursa hii kukupongeza kwa kazi nzur mnayoendelea kuifanya hasa kazi nzuri inayofanywa na Tume ya maendeleo ya ushirika nchini.
Baada ya pongezi,zangu kwako nichukue fursa hii pia kukushauri dhdi ya vyama vya ushirika nchini
Kwanza mimi,kama raia nimeona fursa kubwa kwwny ushirika kwa maana kwamba ni sehemu pekee ambayo inaweza chochea maendeleo ua viwanda nchini.
Pili nimeshangaa, serikali inasimamia hivu vyamabkupitia wayendaji wake,kwa maana ya maafisa ushirika na warajisi,hawa ni waajiriwa wa umma,wanalipwa mishahars,lakini je wao km wasimamiz wa vyama hiv wanainhiza sh ngap kutoka kweny vyama hivo?
Hawa watumishi wanafNya kazi nzur sanaaa ingawa changamoto zipo ila kimsingi vyama vya ushirika vinatakiwa kulipa kodi kwa serikali.
Haiwezekani serikali iajiri msimamiz,hitoe mikopp kwa vyama hivi,kupitia mabenki mbalimbali ya serikali halafu mbaya zaid vipo vyama vingi nchini havijarejesha hata hizp fedha,nmeumia sanaaa niliposoma hotuba ya wizara ya kilimo na ushirika ya mwaka 2008/2009/2009/2010 yani serikali inadhamiki vyamavvinakopa na baada ya chama kukopa kinakopesha wanachama,na wanachama wapo,ila serikali inalipa ilo deni.
Huu,ni mchezo wa ajabu sanaaa,hakika serikali ua awamu ya TANO,ni serikali imara ambayo imeona haiwez kuendelea na mchezo wa kalata huu,na kuamua kutoa fursa kwa wadau kuweza kukusanya madeni na kutoa elimu jinsi ambavyo tunaweza inua ushirika ambao ni msingi wa maendeleo.