Nahitaji madawa na chanjo kwa ajili ya kuku wa kienyej, pamoja na chakula cha vifaranga

Athman Msami

Member
Feb 11, 2017
5
0
Mambo vp wana jf wenzangu, nahitaji madawa na chanjo kwa ajili ya kuku wa kienyeji, pamoja na chakula cha vifaranga, tafadhali naomba msaada nitapata wapi. Mimi nipo Mwananyamala
 
Back
Top Bottom