socket
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 305
- 431
Habarini wapendwa wa kilimo. Kwanza kabisa niwapongeze wote tuliojaribu kuweka mazao mashamba msimu huu wa masika maana naamini tutapata.
Kuna Drip System za ekari mbili ila kila moja ya ekari moja inajitegemea na zinauzwa kwa bei rahisi maana huyu mdau alinunua 3.milion ila anatafuta mteja amuuzie kwa 2.5 milion
Labda nielezee component zake utaelewa ukubwa wake
Brand ni TORO company...U.S.A
--Dropline Roller mbili - 260000ft/7924m
--Pro loc valve 16mm - 64pc
--Tank Connector - 1pc
--Filter 1.5inch - 1pc
--Drip Joiner - 10pc
--Layflat Submain - 67m
--Tee PN 16. 1.5 inch - 1pc
--Elbow PN 16. 1.5inch - 2pc
Ni system rahisi kufunga kwahiyo haina haja ya kuingia gharama ya kufungiwa na nitakuelekeza namna ya kuifunga shambani kwako
Karibuni