Miti ya Mbao Ukanda wa pwani

Truth Matters

JF-Expert Member
Apr 12, 2013
1,998
3,752
Bandugu,
Ni miti gani ya mbao inastawi ukanda wa joto pwani ya bahari ya Hindi, Kuanzia Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Lindi mpaka Mtwara.
N.B miti isihitaji zaidi ya miaka 10 mpaka kuvunwa kwake.
Shukran!
 
Back
Top Bottom