Zao gani nipande

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
703
Habari wadau, poleni kwa majukum.
Lengo la Uzi huu ni kupata maoni yenu.
Nina shamba la ekari 3 lipo eneo la mitonga -mbanja Lindi. Ardhi yake ni ya mchanga, mazao yanayostawi ni pamoja na Karanga, mihogo, mahindi, choroko, kunde, n.k
Nataka ushauri wenu ni zao gani la kibiashara nipande la muda mfupi lenye soko Zuri
Naomba kuwasilisha.
 
Lima kitu ambacho hata usipopata soko utakula mwenyewe.
Ushauri wangu bora ulime mahindi.
 
Back
Top Bottom