Msaada: Natafuta mwekezaji kama wafanyavyo Kariakoo

msakapesa

Member
Sep 19, 2013
26
17
Habari wadau wa ujasiliamali. Mimi nina eneo hapa dsm ( Bunju ) lilikuwa shamba, sasa mzee kalipa katika30*30, shida yangu natafuta mtu ambaye atakayeingia mkataba kati yetu na sisi ajenge nyumba iwe apartment apangishe then tunahesabiana miaka kadha.... Je watu kama hawa nawapataje akwa yeyote anayejua msaadaaa
 
Hiyo mikataba inakuwaga valid tu, kama gharama ya kiwanja ni kubwa au karibia na gharama ya ujenz wenyewe, ss bunju si mtu ananunua tu eneo anafanya hiyo kitu

unless eneo lako liwe na added advantage
 
Back
Top Bottom