Nataka kujua Katiba Vyama vya Msingi

Ndara Mbovu

Senior Member
Feb 28, 2017
155
82
Kwanza Kabisa Ningependa Kumshukuru Mungu Kwa Kutuweka Salama Hadi Leo Hii.
Hapa ninapoishi kuna Vyama Vya msingi vya ushirika ambavyo vinahusika ununuzi au ukusanyaji wa mazao mfano Korosho, Mbaazi Choroko n. k,
Je Katiba inasema vipi kuhusu mipaka ya ufanyaji kazi vyama hivi?
Kama chama kikianzishwa kwenye Kata Fulani hakiluhusiwi kwenda kufanya kazi kwenye kata nyingine?
 
Naomba majina na ukiweza niunganishe na viongozi wa vyama hivo nina shida
 
Back
Top Bottom