Natafuta msaada wa fedha za kilimo

Natafuta msaada wa fedha za kilimo

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Habari zenu ndugu zangu, naomba msaada kama mtu anaufahamu na wafadhili wa mambo ya kilimo, kama naweza kupata wafadhili nahitaji mtaji na hali yangu sio nzuri kiuchumi nataka kulima kilimo cha umwagiliaji,
Lakini tutakubaliana baada ya mavuno na faida tutatoa na kurudisha mtaji na faida inayobakia tunagawana.
 
Kilimo kipo wapi?
 
Back
Top Bottom