Kwa yeyote anaeijua Makambako vizuri naomba anifahamishe Mambo yafuàtayo
1) Ardhi kwa ajili ya kilimo inapatikana kwa shilingi ngapi kwa heka
2) Mazao yapi ya biashara yanastawi sana
3)...
Wakuu habari za majukumu.
Ninatafuta mashine ya kufungia malisho ya mifugo (baling machine)
aina ya CLAAS au NEW HOLLAND
Tafadhali tuwasiliane iwapo unayo au unamfahamu aliyenayo
Ugonjwa unaowaathiri sana ng'ombe, mbuzi na kondoo kwa kushambulia kwato na miguu yao, ujulikanao kama foot rot (kuoza kwa miguu) sasa umepata suluhisho kwa tiba asilia 100%.
Baada ya hiki...
Heshima kwenu wana JF,
Naombeni mchango wenu katika kuboresha wazo langu la uwekezaji ambalo natarajia kuanza utekelezaji miezi ya karibuni.
Mimi ni msomi wa kawaida nilifanya kazi kwenye NGO...
Wadau mm nipo mkoa wa Iringa natafuta soko au watu binafsi wenye uhitaji wa mabanzi au makapi ya mbao mkowa wowote tuwasiliane ili tufanye biashara namba yangu ni 0767879732.
Hii ni picture ya...
Wakuu hivi mashudu ya pamba yanapatikana wapi kwa wingi na bei yake ni bei gani? kuna wahindi apa dar wanayaulizia hivyo natafuta pa kuyapata niwe nawaletea mzigo. naomba anaye jua anifahamishe...
Habari za mihangaiko wananzengo..ninahitaji Water pump kama kuna mtu anauza tafadhari used lkn iwe katika ubora wa kutumika.
**Iwe inatumia Petrol
** Inch 3
Nina 200,000/= taslim kwa kwenye...
Naombeni aina ya vyakula vya mifugo na bei zake kwa eneo ulilopo pia ushauri wenu juu ya biashara ya kuuza vyakula vya Kuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wanajf nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mpunga mbeya but sielewi wapi pa kuanzia
Km kuna anaeelewa naomba kujulishwa mchanganuo mfano gharama za ukodishaji shamba heka ni bei gn na...
Habari za Majukumu wadau wa sekta ya kilimo.
Kumekuwa na post mbalimbali kutoka kwa wadau wa ufugaji wakiulizia vifaa mbalimbali vinavyohusiana na ufugaji kwa ujumla wake. Kuna wengi wamejitokeza...
wakuu tunamba ushauri juu ya soko la mboga na mahindi mabichi kwa hapa dar, tumepata shaba wastani wa ekar 5 ambazo tunatazamia kulima mboga mboga kama majani ya...
Inawezekana kabisa humu jf Kuna wataalamu wa Kilimo tena ni wabobezi katika sekta hiyo.. Nimeona Kuna watu humu wanaomba msaada wa kuzalisha baadhi ya mazao, Mfano maharage, mihogo..nk. Cha...
WAJAMENI, KWA ANAYEJUA, nimekuwa nikitaka kujua namna ya kupata namba special za kuuza na kununulia vitu online kutoka kwa vodacome na tigopesa, ambapo watu wanaweza kununua vitu kwangu na mimi...
Niwatakie Jumapili njema, Kuna tatizo linanisumbua kutokana na kuku wangu wa kienyeji kutaga sehemu moja kwa pamoja (Kuku wawili hata watatu wanataga kwenye kiota kimoja). Nimejaribu kuweka viota...
Natumai mu wazima.
Naulizia kwa mkoa wa Arusha ni maeneo gani naweza pata shamba la kuanzia ekari 30 kwa ajili ya kulima mahindi.
Hata kama kuna anayejua na mkoa wa Manyara pia naomba anijuze...
Eneo zuri linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugajia wa samaki lenye hekar 2.lipo mita 100 kutoka mto ruvu,mita chache kutoka mradi wa samaki wa ruvu fish,eneo lipo halmashaur ya mji kibaha...
Jamani ngo'mbe wangu anashindwa kutembea. Alikuwa ameanguka wiki mbili nikampa chumvi na injection ya gluconate akaamuka. jana mchungaji akampeleka milishoni akakaa chini haamki ingawa anakula...
Kwanini VITUNGUU katika shamba lako vishambuliwe na UTITIRI NA CHAWA wakati dawa ipo?
Tumia PROTRIN 60EC.
Wasiliana nasi,
Meru Agro
Piga 0755 325 442
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.