Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata mzinga kibiashara

Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata mzinga kibiashara

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,517
Reaction score
13,259
Wanajamii,

Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata mzinga naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato.pia itakuwa vizuri tukipewa majibu ya maswali yafuatayo
1. Wapo aina ngapi?
2. Wanaatamia mayai kwa mwaka mara ngapi?
3. Soko halisi likoje?
4. Vyakula wanavyokula kama nikitaka kuwafuga kibiashara?
5. Je, naweza kutotoleshea mayai yao kwa kutumia incubator?
2d949bfdb7bcfb1585c9cdee5c5cd357.jpg
16de90df5fbbfe7a0e0f95fb42a62278.jpg
ede10ec227125c1df546e3681f2cfa08.jpg


-Ndumilakuwili-
 
Back
Top Bottom