Technolojia ya Hydroponics.

Technolojia ya Hydroponics.

Emoj

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
839
Reaction score
1,314
Habari wana kilimo.Nimekuwa nikisia habari ya kilimo kwa kutumia Technolojia ya Hydroponics ambayo mkulima haitaji kuwa na Ardhi ili aweze kulima, anachohitaji ni kuwa na hiyo system ya hydoponics.
Kilimo hichi unaweza kulima mbogamboga na matunda pasipo kutumia udogo.
Naombeni wenye uelewa kuhusu kilimo hiki wanisaidie tafadhali.wapi naweza pata wataalam wa hichi kilimo?
na pia capital ya kuanzia kufanya hichi kilimo.
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kilimo simple ila ni complicated sana binafsi ninautalaamu wa kufunga hizi system,sifa kubwa ya kilimo hiki ni kucontrol ukubwa wa tunda au majani mfano chainizi,nyanya,ila hutaweza kilimo hiki utakata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kilimo simple ila ni complicated sana binafsi ninautalaamu wa kufunga hizi system,sifa kubwa ya kilimo hiki ni kucontrol ukubwa wa tunda au majani mfano chainizi,nyanya,ila hutaweza kilimo hiki utakata tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu umemkatisha tamaa kwelikweli. Hakuna kitu chepesi hasa ambacho kinacho husiana na kutengeneza pesa

Umesha fungia watu wangapi hiyo system? Na sababu zipi zitakazo mkatisha tamaa?
 
Kama unaweza nenda Jkt ruvu wanatoa ayo mafunzo icho kilimo na machine zake nenda pale kambini watakuelekeza vzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom