PUNGUZO LA BEI KWA PEMBEJEO ZA KILIMO.!

PUNGUZO LA BEI KWA PEMBEJEO ZA KILIMO.!

King Mutesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
227
Reaction score
140
Salaam Wakuu.!
Ni kwamba kwa bajeti kuu ya serikali 2017-2018 tuliambiwa kuna punguzo la kodi kwa 18% kama sikosei katika pembejeo za kilimo (mbegu,mbolea n.k) lakini tunaenda msimu wa Kilimo WAKULIMA hatuoni bei za pembejeo kushuka ,Bei ni zilezile.!
Hii imekaaje Wakuu!? Tunawezaje kufikisha suala hili sehemu husika!?

Nawasilisha,
Asanteni.
 
Back
Top Bottom