Habari wakuu naomba kama unatotolesha mayai au mwenye kufahamu mahali wanakototolesha mayai manispaa ya Ubungo na maeneo jirani anipm ,au nipe mawasiliano nikutafute.Asanteni
Habari zenu wakuu....
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka isiyofikia 25 na pia ni mzaliwa wa mkoa wa iringa kwa malezi yangu ni dar es salaam
Katika mkoa wa iringa nina shamba LA...
hello JF,
Nimefikiria nikaona,
kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu,
ila,tume base kwenye nafaka peke yake,
kila mtu ukimsikia amejiajiri,ujue ni kilimo cha mahindi,mchele,mtama etc
leo...
Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake.
Ni Tanzania ndio ni Tanzania...
Habari za kazi wakuu? Naomba niende straight kwenye point yangu, nimekua nikifuga kuku wa kienyeji kwa mwaka sasa lakini kuna tatizo nimelipata siku za karibuni baadhi ya kuku wanapasua mayai...
Ndugu Watanzania wote.
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikisikia kilio cha wakulima wa Mbaazi Tanzania kutokana na kuporomoka kwa bei ya mbaazi kwenye soko la dunia. Pia nimefuatilia juhudi za...
Tunaomba mamlaka za kudhibiti dawa wachunguze na kufanyia upekuzi WA Mara kwa Mara kwenye viwanda vya dawa za kuua wadudu (pesticides/insecticides) haswa viwanda vya arusha. Wananchi tunapoteza...
Wadau kuna mtu ameniomba mmsaada wa kujua bei ya Dagaa wa Mwanza kwa hapa Dar kwa bei ya jumla kwa gunia, kama kuna anajua chochote kuhusu biashara hii, share nasi unachojua please...bei na masoko!
Salam wakuu napenda kujua ni Uzi gani unapendwa humu jf na zipi sifa zake kipi kinawavutia wakuu kuchangia?
Je ni zile za wenye majina kama kaka mshana Jr na wengine
Je ni zile za kugegedana...
HAMASA YA WATU KWENYE KILIMO NA UFUGAJI NA JINSI WATU WANAVYO TAPELIWA.
Katika siku za hivi karibuni watu wamejuwa na mwamko sana wa Ujasiriamali hasa kwenye kilimo.
Watu wamekuwa na hamasa ya...
Habari wakuu
Nahtaj nipande miti ya mbao yenye sofa ya kikua kwa mda mfupi na ujazo wa kutosha
Naomba wataalam munishauri ni aina gani ya miti ni nzury kibiashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam Wakuu.!
Ni kwamba kwa bajeti kuu ya serikali 2017-2018 tuliambiwa kuna punguzo la kodi kwa 18% kama sikosei katika pembejeo za kilimo (mbegu,mbolea n.k) lakini tunaenda msimu wa Kilimo...
Bei ya vifaranga vya kuku wa nyama mayai imepanda kutoka Tsh 1,300 hadi Tsh 2,200 baada ya Serikali kuzuia uagizaji kutoka nje
Kama unapenda kula nyama ya kuku au mayai, anza kujiandaa...
Kwenye uzalishaji wa mayai kuna ya kuku wa Kisasa na kuku wa Kienyeji.
Ila soko kubwa ni la mayai ya Kisasa.
Soko la mayai ya kienyeji ni kwa fammily consuption ila kwa biashara watu wanatumia...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kilivyoeleza. Natafuta location ya ofisi za bodi ya korosho Dar, au kama kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano na yeyote anayefanyia bodi ya korosho hata aliyeko...
Habari wakuu kama mnavyojua mambo ya ajira ni pata potea, nataka nianzishe kimradi changu cha kuku ila wa kienyeji, ss sina sehem ila kuna chumba cha nje kipo wazi..swali ni je kuku wa kienyeji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.