Wakulima wenzangu wa mahindi naomba msaada kuhusu hybrid

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,013
1,634
Habar wanajamvi mimi ni mjasiliamali mdogo na pia nimeanza kulima mahindi ila nataka kujua kuhusu mbegu za mahindi hybrid kama unaweza kupanda misimu miwili mfulilizo yaani nimependa kwenye masika kutokana na uchumi kubana nataka nipande mbegu zile zile kwenye mvua za vuli kwani nimeziweka dawa na nimezihifadhi vizuri. Nataka kujua kuhusu mavuno inakuwaje. Nataka ushauri wa field sio wa kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom