Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata mzinga naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato.pia itakuwa vizuri tukipewa majibu ya maswali...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari wakuu, Natarajia kuvuna matikiti Mungu akinijalia ndani ya wiki tatu baada ya changamoto kadhaa za kilimo hiki. Msimu uliopita nlimkabidhi mzigo mmoja wa madalali wa pale Buguruni sokoni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wakuu habari, tumetoka kupiga dawa ya ukungu, vitunguu vishaanza kutoa mabomba na maua msaada ni kitu gani kinahitajika nifanye kwa sasa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada wenu,nawejaze kumtibu Kuku aliyevunjika mguu kwenye goti? Asanteni.
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wana jamii Mimi ni kijana nilie ajiriwa sekta binafsi na pia nimejiari pia katika ufugaji wa kuku wa kienyeji. ijapokua sina uelewa na baadhi ya madawa ya kuku na magonjwa yao. Wapo kuku...
0 Reactions
22 Replies
21K Views
Habar wanajamvi mimi ni mjasiliamali mdogo na pia nimeanza kulima mahindi ila nataka kujua kuhusu mbegu za mahindi hybrid kama unaweza kupanda misimu miwili mfulilizo yaani nimependa kwenye masika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jamii, Habarini ya mapumziko? Naomba msaada wenu kupata maelekezo juu ya Biashara ya Chumvi. Nataka kuwekeza kwenye usagaji na upakiaji wa chumvi ya baharini kwa matumizi ya binadamu na...
1 Reactions
17 Replies
13K Views
Habari wana kilimo.Nimekuwa nikisia habari ya kilimo kwa kutumia Technolojia ya Hydroponics ambayo mkulima haitaji kuwa na Ardhi ili aweze kulima, anachohitaji ni kuwa na hiyo system ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Eneo linalohitajika ni mita mbili (2), Kwa maana ya Urefu wa mita mbili (2) na Upana wa mita moja (1). Huu ni ufugaji wenye tija kwa wale wafugaji wenye eneo dogo. Kinakachofanyika katika hilo...
7 Reactions
5 Replies
9K Views
Natafuta mbaazi mweupe kwa wingi.ntapata wapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu nilikuwa natafuta hizi trays kwa hapa Dar naweza kuzipata wapi Na Bei Tafadhali
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada nataka kujua ukubwa wa banda (square mita) la kufugia kuku wa mayai na idadi ya kuku inayotakiwa... i.e kwa kuku wa mayai 300 kwa mfano, inatakiwa banda la ukubwa gani? Pia kwa...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nauza dagaa wa Mwanza wale wabichi wamekaangwa. Wapo tayari kwa kula Unaweza wapasha ukala au unaweza kuwaunga either way! Hawana mchanga na sio wachungu. Pakiti-1500 (wamewekewa viungo)...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Mashine za kuangulishia vifaranga zenye ubora na uwezo wa hali ya juu zunauzwa. Ni kuanzia mayai 120--5000. Mashine zinatumia umem kidogo na zinatunza joto kwa muda mrefu. Ufanisi wake ni zaid ya...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Wasalaam kama inavyojieleza katika heading, katika jitihada zetu za kupambana na umasikini na kutegemea kuajiriwa tu nimeiona fursa katika kilimo na naomba msaada wa wadau ambao wako na utayari wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi nahitaji Vifaranga Wa kuku Wa mayai wakisasa napatkana IRINGA Kwa mawasiliano zaidi +255768181757
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu, jamaa na marafiki zangu habari zenu. Nikiwa mdau na mkeleketwa wa kilimo huwa napata uchungu sana pale mkulima anaponunua mbegu ambayo inamletea mavuno duni, wakulima wanashindwa kuendelea...
4 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari wana jamii forum, zao la korosho nimeona likilimwa sana pwani sasa nimekua nikijiuliza hivi je kuna uwezekano wa kulima hili zao la korosho katika ukanda wa ziwa (ziwa viktoria, Mwanza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wakuu ni matumaini yangu kuwa mpo salama wasalmini...kutokana na hali ya kiuchumi na kutafuta ajira bila mafanikio, na kutokana na kusubiri ajira za serikali bila mafanikio, nimeamua kuanzisha...
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Back
Top Bottom