GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,938 Sep 25, 2017 #1 Heshima kwemu wanaJF, Nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma ila nimekutana na changamoto ya wadudu wanaoharibu majani ya mahindi. Naombeni msaada wa dawa gani nitumie. Picha ziko chini
Heshima kwemu wanaJF, Nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma ila nimekutana na changamoto ya wadudu wanaoharibu majani ya mahindi. Naombeni msaada wa dawa gani nitumie. Picha ziko chini
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,397 Reaction score 6,980 Sep 25, 2017 #2 Ninja inafaa
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,938 Sep 25, 2017 Thread starter #3 Shombe la Kisomali said: Ninja inafaa Click to expand... Ahsante sana mkuu kwa ushauri. Je, nikipiga hiyo dawa yatarudi kwenye hali nzuri au ning'oe maana karibu robo tatu ya heka iko hivyo?
Shombe la Kisomali said: Ninja inafaa Click to expand... Ahsante sana mkuu kwa ushauri. Je, nikipiga hiyo dawa yatarudi kwenye hali nzuri au ning'oe maana karibu robo tatu ya heka iko hivyo?
STUKA M1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,397 Reaction score 6,980 Sep 25, 2017 #4 GREGO said: Ahsante sana mkuu kwa ushauri. Je, nikipiga hiyo dawa yatarudi kwenye hali nzuri au ning'oe maana karibu robo tatu ya heka iko hivyo? Click to expand... Using'oe, piga kwanza naamini itasaidia.. maana hata mm nishawahi kutumia na imenisaidia
GREGO said: Ahsante sana mkuu kwa ushauri. Je, nikipiga hiyo dawa yatarudi kwenye hali nzuri au ning'oe maana karibu robo tatu ya heka iko hivyo? Click to expand... Using'oe, piga kwanza naamini itasaidia.. maana hata mm nishawahi kutumia na imenisaidia
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,938 Sep 25, 2017 Thread starter #5 Shombe la Kisomali said: Using'oe, piga kwanza naamini itasaidia.. maana hata mm nishawahi kutumia na imenisaidia Click to expand... Shukran sana mkuu, ubarikiwe
Shombe la Kisomali said: Using'oe, piga kwanza naamini itasaidia.. maana hata mm nishawahi kutumia na imenisaidia Click to expand... Shukran sana mkuu, ubarikiwe