Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

kama kichwa kinavojieleza.naomba kwa wale wanaojua..wanijuze vilipo locatiion yake mikoa yote. nashukuru!
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani ndugu, naomba kwa anayejua kuhusu biashara ya mahidi kuanzia mtaji wake hadi soko.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana JF Imekuwa ngumu sana kufahamu fursa zilipo na wapi mtu anaweza akatokea, watadharau wale ambao wanasubiri kazi za kuajiriwa serikalini na secta binafsi, ila lazima tupate pa kuanzia. sasa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna kipindi humu jukwaani habari za Greenhouse zilitrend sana na kupelekea watu kuwa na matumaini makubwa kulingana na hesabu za mamilioni zilizokuwa zinapigwa! Hapa karibuni zimeibuka habari za...
5 Reactions
32 Replies
8K Views
Wakuu habari zenu,natafuta soko la pilipili mbuzi au kama kuna mnunuzi ani PM fastaa kabla ya kwenda mbali nimeona niwajulishe nyie kwnza,wana JF
1 Reactions
0 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu wana JF, Mapema mwakani 2015 nataraj kuanza hio biashara ya uuzaji wa nyama, samaki & kuku kwenye mahotel na supermarkets mbalimbali, hivyo kama kuna mdau yeyote ambaye anafanya...
1 Reactions
17 Replies
11K Views
Hallo wakuu, naomba nitoe ya moyoni Ni hivi nimejenga Banda la kuku tayari na pesa yote imeishia huko nimebaki sina kitu. Wapi naweza pata mkopo wa kuku nikaweka bandani, ninahitaji kuweka kuku...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nahitaji mizinga michache ya kisasa ya nyuki. Niko Dar, mwenye nayo ani PM Asanteni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wa kufahamu mbegu mpya za mahindi zilizopitishwa na vizara ya kilimo, mifugo na uvuvi na zinatengenezwa na makampuni yapi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwemu wanaJF, Nimeamua kuingia kwenye kilimo cha mahindi ya kuchoma ila nimekutana na changamoto ya wadudu wanaoharibu majani ya mahindi. Naombeni msaada wa dawa gani nitumie. Picha ziko...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Hii ni njia sahihi ya kuotesha mahindi.
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Baada ya wateja wengi kutoka Dar kuongezeka, sasa tunawaletea huduma karibu. Mapema wiki ijayo Lorry lenye Ng'ombe wa mziwa litawasili Dar. Tunachokuomba ufanye wewe, ni kufika katika boma letu...
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Ndugu wana jamii forum natafuta shamba la kukodisha kwa mwenye nalo anicheki kwa 0757425666
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa mwenye proposal ya kilimo cha matikiti anisaidie, nataka nijilipue huko nna ka capital kangu hapa kama mil 2 NI PM Natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeguswa na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
habarini wanajukwaa poleni na kazi za kujenga uchumi wa familia zenu. Nahitaji kujua ni sehemu gani hapa nchini naweza kupata maembe kwa wingi na kwa bei nafuu nashukuru
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Wana jukwaa, nimelima mahindi kwa kumwagilia mkoani Iringa. Je kwa anayejua bei ya sasa kwenye soko. Nimekosea kwenye tittle moderator naomba msaada, nilimaanisha bei na sio bro.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nina tani 20 za mahindi nauza, naomba ofa yako. Yako Handeni Tanga
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Naomba mwenye kujua bei ya mashudu kwa debe moja ajinijulishe.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hawa ndio Plymonth Rock/Bared Rock ni moja ya Heavy Breeds, niliwapata wachache kutoka Ufaransa. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu nauliza ni sehemu gani morogoro Ambapo unaweza kununua mpunga kwa gharama nafuu kipindi cha uvunaji Na upatikanaji wa maghala kwa ujumla (vijiji gani)
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Back
Top Bottom