Red Worm/Minyoo wekundu kwa ajili ya kuzalishia mbolea za aina mbili

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,872
9,261
Red worm au minyoo wekundu wengi wetu tunaelewa ni kwa ajili ua kulishia kuku na samaki, Ila ina kazi.nyingine ambayo ndo kubwa zaidi, nayoni kuzalishia mbolea.

Red worm huzalisha mbolea za aina mbili.

1. Vermal Liquid- Hii ni mbolea ya maji ambayo ina virutubisho vingi mno, Na hii mbolea pia yawezatumika kuzalishia Hydroponic fodder.

2.Vermal Composite- Hii ni mbolea ambayo minyoo hutumika kuozesha na kupata hii mbolea ambayo nayo pia ni nzuri sana.

Hivyo unaweza fuga hawa minyoo kwa hizo kazi mbili.
 
Mkuu fafanua, hao minyoo unawafugia kwenye trey za hydroponic fodder au separate?
 
Back
Top Bottom