WATEJA NA WAUZAJI WA MAZAO!!

wingman7

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
340
70
Habari wanaJF, Nimetengeneza uzi huu ili kusaidia kurahisisha Biashara kati ya Mkulima na Mnunuzi. Kwa yeyote mwenye mazao au anahitaji mazao Basi Ukumbi ni wako!!!!
 
Wadau habar, nina tikit-imaji ambazo zitakuwa tayar (1 acre) kuvunwa kwanzia wiki ya pili ya mwezi wa 10,naomba wadau wa masoko tafadhali.
Mzigo upo Vikindu. Mawasiliano 0714-087253 & 0784-429215 Karibuni Sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom