Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Karbu Chuo cha Mifugo Hagafilo upate elimu bora kuhusu Tiba na Uzalishaji wa mifugo kwa ngazi Astashahada(CHETI) Stashahada (DIPLOMA) piga 0762940676 kwa mawasiliano
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Nina kuku was kienyeji wanaumwa,wamevaa makoti je tiba yake ni IPI?na ni ugonjwa gani huu?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana-JF, Natafuta matank aina ya IBC. Nataka kununua hivyo naulizia upatikanaji wake na bei zake. Niko Dar es Salaam. Mwenye kufahamu wapi nitapata haya matank ya IBC aniambie na pia nitayapata...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Wadau assalam, Nadhani Ijumaat imekaa sawa, Nauliza dawa kali ya wadudu wanaotambaa kama vile mende, sisimizi,kunguni, chawa na mchwa. Tafadhali anaejuwa anijuze jina, pia hata zinakopatikana...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nahitaji msaad kwa wanao fahamu dawa ya kuku wa kienyeji walio xhusha mabawa na kuharisha au mafua au ute ute mdomon
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilikuta uzi hapa wenye kichwa Nawezaje kupata Ng'ombe bora wa maziwa. Nikaacha email yangu kwa mawasiliano na maelezo kuwa nitamsaidia kupata ng'ombe bora kutoka Meru Arusha eneo pekee nchini...
3 Reactions
59 Replies
17K Views
Kufika: Njoo jirani na njia ya kuelekea standi ya daladala ya mawasiliano hapa Ubungo. Ni pm au WhatsApp hii namba 0626641591. Fuga ng'ombe wa maziwa, mahitaji ya maziwa ni makubwa sana mjini...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Natafuta vifaranga vya kuku wa kienyeji. Please inbox kama unavyo.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
wanyama wadogo: Kuku Sasso ,Sungura,Bata Mzinga etc. Ni rahisi Kwa Watumie WA kipato kidogo hivyo inaweza kuondoa Umaskini na Kuboresha lishe katika Jammii hasa Watoto!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwako mfugaji kuku ni wa miezi 4 & 5 wako jogoo 2, tetea 8 wote bei 120000 wamepata chanjo zote wanapatkana mbezi ya kimara dsm 0787 42 91 04
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana JF kwa anaejua bei ya vitunguu maji kwasasa katika mikoa mbalimbal nipate mwanga
3 Reactions
14 Replies
13K Views
Ninauza Karanga kwa anayehitaji tuwasiliane 0625568600
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa kweli hawa biumbe ni wagumu kuwapata,na ukiwapata bei yake inakuwa kubwa sana kwa kilo, we are talking about more than twenty something shillings per kilo for 'dagaa',but that's not the case...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
kama una swali lolote juu ya masuala yahusuyo kilimo,tafadhali uliza.
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Naomba kujuzwa kama chuo kikuu cha sokoine wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali .Hii ni fursa ambayo naona inalipa sana lakini ningependa kupata ujuzi wa kutosha kabla sijaingia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana nomba kujua ng'ombe wa maziwa anaweza kutoa Lita 20 kwa Siku?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habar wandugu, Naomba kuuliza je nikianza kuotesha kitinguu mwezi wa kumi na moja nitapata mazao vizur au nisubiri mwakan mwez march? Naomben ushaur ukanda wa Kilimanjaro same
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Red worm au minyoo wekundu wengi wetu tunaelewa ni kwa ajili ua kulishia kuku na samaki, Ila ina kazi.nyingine ambayo ndo kubwa zaidi, nayoni kuzalishia mbolea. Red worm huzalisha mbolea za aina...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nimetengeneza uzi huu ili kusaidia kurahisisha Biashara kati ya Mkulima na Mnunuzi. Kwa yeyote mwenye mazao au anahitaji mazao Basi Ukumbi ni wako!!!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanaweek nne niwakubwa na wenye afya Bei 70000 Wapo Dar es salaam boko msikitini Kwa mawasiliano +255625588676
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom