Michael Ryuba
Member
- Sep 21, 2017
- 20
- 5
Jamani ndugu, naomba kwa anayejua kuhusu biashara ya mahidi kuanzia mtaji wake hadi soko.
ndioMahidi???
daaaaaah, nimekosea ni mahindiMahidi???
Kwa Ajili Ya UngaYa kuchoma/kuchemsha au kwaajili ya unga namaanisha ugali
Jinsi unavyokuwa mfupi kuwasilisha hoja na wadau nao wanakuwa wafupi kuelekeza nguvu zao kukujibu hivyo PANUA mawazo yako ili kila mtu aingie ndio utaona raha ya uzi wako