Jifunze kulima mahindi.

Jifunze kulima mahindi.

Njia za kuotesha mahindi ni nyingi kutegemea na scale unayoitaka. Mfano, mbinu za ulimaji wa heka 1 ni tofauti na za ulimaji wa heka 1000
 
kilichobaki ni kufanyia kazi tu msimu huu.

mwenye video ya namna hii juu ya kilimo cha maharage pia naomba atuwezeshe wanakwetu
 
Back
Top Bottom