Denis Elias Manyama Member Joined Dec 17, 2016 Posts 37 Reaction score 22 Sep 4, 2017 #1 Jamani naomba msaada wa kufahamu mbegu mpya za mahindi zilizopitishwa na vizara ya kilimo, mifugo na uvuvi na zinatengenezwa na makampuni yapi?
Jamani naomba msaada wa kufahamu mbegu mpya za mahindi zilizopitishwa na vizara ya kilimo, mifugo na uvuvi na zinatengenezwa na makampuni yapi?
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,513 Sep 25, 2017 #2 Mbegu zipo nyingi, isipokuwa inategemea wewe upo wapi, maana kila eneo lina aina yake ya Mbegu kulingana na hali ya hewa.
Mbegu zipo nyingi, isipokuwa inategemea wewe upo wapi, maana kila eneo lina aina yake ya Mbegu kulingana na hali ya hewa.
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,085 Reaction score 1,082 Sep 25, 2017 #3 Panda mbegu za asili