Mrejesho Kuhusu Greenhouse!!!

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,131
27,066
Kuna kipindi humu jukwaani habari za Greenhouse zilitrend sana na kupelekea watu kuwa na matumaini makubwa kulingana na hesabu za mamilioni zilizokuwa zinapigwa!

Hapa karibuni zimeibuka habari za forex na watu wamepata mihemko kweli kweli kama ilivyokuwa kwenye GH, Swali langu je kuna watu walifanya project ya GH? Kama walifanya maendeleo yakoje? Je wale wahamasishaji maarufu wako wapi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikiti
Nadhani kilichowapata unakijua

Mwisho wasiku wauza mbegu,madawa na mbolea ndo waliofaidika

love without limits
Du sitaki kukumbuka hiyo kitu ya kilimo cha Matikiti.unajua zilikuwa ni hesabu zilizopigwa na watu ambao sio "agrobusiness expert".kweli kama kamali vile kuna walio piga fedha na kuna waliofilisika mbaya .kuna watu sasa hivi wanahangaika na marejesho kwenye saccos kwa fedha walizofukia chini.kiliml hakitaki pupa
 
Dah, mkuu niambie nijifunze kitu nami ntakwambia yangu ujifunze kitu

love without limits
 
Kil
Kweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikiti
Nadhani kilichowapata unakijua

Mwisho wasiku wauza mbegu,madawa na mbolea ndo waliofaidika

love without limits
kilimo cha viazi lishe,mbegu 1inauzwa sh 60.Ukilima vizuri kwa ekari unapata milioni 20,ndo habari ya mjini.Hivyo wanaonufaika ni wafanya kampeni na organization zao.
 
Ogopa kufanya kitu kwa mihemko..lazima uambulie za uso..hata huko forex..wengi watapakimbia tu mana naona watu wameenda ki mihemko zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Foreign currency exchange rates {Forex} watapasuka mapema tuuuuuuuu. Maana kukaa kutegemea pesa idondoke au ikue ni zaidi ya kamali ya KUBETI. Yaani wakuu tuache blaa blaaa tufanye kazi. Hii shoti kati inatuponza na kutupotezea muda
Leo Dola imepanda kesho imedondoka
Hiii inakumbusha chuoni, washkaji full kubeti kwa muhindi mpaka Semister 2 zinaisha watu hata nguo za kuvaa zimekwisha na usoni kapauka kwa sababu ya kubeti.

Sema nini, changamoto iliyopo apa mjini uwezi Kufuga wala kulima, kwa watu waliopo apa mijini kwa iyo kipato kinapatikana kwenye ujanja Ujanja wa kucheza kamali na kuwa dalali kwa kifupi ni Utapeli Utapeli tuuu na Kingine ndio biashara za Madawa ya Kulevya
Apa mjini changamoto sana, ni kama kwenye usaili wa TRA watu elfu 30. Yaani changamoto sana
Tumezaliwa ilala nyumba za Kota. Uwezi Kufuga chochote zaidi ya Kufuga njiwa. Mungu tunusuru vijana wa mjini, hali ni ngumu sana
 
Sasa hivi kuna TATU MZUKAAAA na BIKO jionee nguvu ya buku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom