Mtafute Fb jamaa moja anaitwa Kiemi atakutatulia issue yakoo. AsanteeNahitaji mizinga michache ya kisasa ya nyuki. Niko Dar, mwenye nayo ani PM
Asanteni
Hebu piga hii namba (0754 678066) ya jamaa wa National Beekeeping Supplies uone watakwambiaje. Huwa wanahusika na usambazaji wa vifaa vya ufugaji nyuki vya kisasa kabisa.Nahitaji mizinga michache ya kisasa ya nyuki. Niko Dar, mwenye nayo ani PM
Asanteni