Naomba kujuzwa kama chuo kikuu cha sokoine wanatoa kozi ya ufugaji wa samaki kwa wajasiriamali .Hii ni fursa ambayo naona inalipa sana lakini ningependa kupata ujuzi wa kutosha kabla sijaingia kazini. Asanteni sana
Ok mkuu, umesoma kama mjasiriamali au ilikua degree course? Gharama zikoje na pia utaratibu wa kufanya application? Umeweza kuingia kwenye ufugaji wa samaki? Shukrani nyingi kwako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.