Msaada kupata mkopo wa kuku wa kienyeji

Msaada kupata mkopo wa kuku wa kienyeji

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,998
Hallo wakuu, naomba nitoe ya moyoni Ni hivi nimejenga Banda la kuku tayari na pesa yote imeishia huko nimebaki sina kitu.

Wapi naweza pata mkopo wa kuku nikaweka bandani, ninahitaji kuweka kuku wa kienyeji lakini nimeshindwa.
 
Upo mkoa gani mkuu, labda tunaweza kuangalia nini cha kufanya
 
Ndio Mkuu chakula ninaweza kwani hapa jirani Kuna nyumba za wapangaji ntachukua makombo na PIA isitoshe kuku akishakuwa bandani sitoshindwa kumlisha


we chaliiii haupo serious kabisa aisee .....makombo utegemee kulisha kuku uliokopea!
 
nikupe mbinu.... chukua mahindi ukikuta kuku wanaozurura anza kuwapa mhindi mmojammoja watakufollow you hadi bandani, na mradi wako utaanzia hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom