Msaada jinsi kuanzisha agro-vet

Msaada jinsi kuanzisha agro-vet

ynna

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
59
Reaction score
25
Nimehitimu Diploma ya mifugo(DAHP) nnamtaji wa million 2.5 tu, nko njombe vijijin kuna kama kata NNE hakuna mtaalam kilimo/mifugo wala vet. centre na wananch nanafuga sana Nguruwe Kuku, mbuz, kidogo ng'ombe pia wanalima nafaka maharage, mahindi na mazao ya bustan. Ahsante kwa mawazo
 
Back
Top Bottom