Msaada natafuta soko la Mahindi

Msaada natafuta soko la Mahindi

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Wakuu habari zenu,

Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari.

PM kwa taarifa yyte.
 
Wakuu habari zenu,Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari...
Pm kwa taarifa yyte.
Nakushauri usubiri usiuze sasa. Subiri bei ipande nadhani mwanzoni mwa mwaka utapata pesa nzuri.
 
Hongera kwa mavuno mazuri! Mahindi yanahitajika sana Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia ila yaende kama unga! Kwa kuwa wewe ni mkulima mkubwa ni vema kufanya mpango wa kuanzisha kiwanda cha usagishaji. Pale UFI Dar kwa wachina kuna machine nzuri au kwa kupunguza gharama unaweza kuagiza kutoka china. Ingia kwenye website yao www.alibaba.com. Angalia bei zao.
 
Baada ya kuzuia kusafirisha nje, mradi huu umeingia ruba, kuwa makini. Kwani huko vijijini ni mengi mno, kuwa makini.

Mdau wa sekta
 
Duh!!! Basi hatari sana. Wakulima tulie tu.
 
Wakuu habari zenu,Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari...
Pm kwa taarifa yyte.
Why PM,
HUko ndiko mnakoibianaga, wewe Unauzaje hayo Mahindi??
 
uko wapi. mbona rahisi. tafuta mashine ya kusaga wauzie
 
Braza mambo ni mazur.... Mipaka imeachiwa na gvnmnt ishaanza nunua mahind......
 
Hongera kwa mavuno mazuri! Mahindi yanahitajika sana Kenya, Sudan Kusini na Ethiopia ila yaende kama unga! Kwa kuwa wewe ni mkulima mkubwa ni vema kufanya mpango wa kuanzisha kiwanda cha usagishaji. Pale UFI Dar kwa wachina kuna machine nzuri au kwa kupunguza gharama unaweza kuagiza kutoka china. Ingia kwenye website yao www.alibaba.com. Angalia bei zao.
Natafuta hizi Mashine mkuu...sitaki kuagiza..nataka kuziona na kufanya makubaliano..NASHUKURU KWA KUNIJURISHA...NITAENDA UFI...au ni wapi kwengine?
 
Back
Top Bottom